Chama, Pacome, Aziz K na Dube Katika Timu Moja, Inaenda Kuwa Simulizi ya Kutisha Ligi Kuu


Chama, Pacome, Aziz K na Dube Katika Timu Moja, Inaenda Kuwa Simulizi ya Kutisha Ligi Kuu
Ni taarifa ambayo nilikuwa naifahamu, lakini moyo tu ulikuwa unagoma kukubaliana na ukweli, ni kitu ambacho nilijidanganya kuwa hiyo siku wakimpost sitoumia ila sio kweli, nimeumia sana na huu usajili, niliamini nimeshazoea ndani ya mwezi mzima niliishi nikifahamu ila nilipoona post leo nilishika ganzi. Ni taarifa ambayo nilikuwa naifahamu, lakini moyo tu ulikuwa unagoma kukubaliana na ukweli, ni kitu ambacho nilijidanganya kuwa hiyo siku wakimpost sitoumia ila sio kweli, nimeumia sana na huu usajili, niliamini nimeshazoea ndani ya mwezi mzima niliishi nikifahamu ila nilipoona post leo nilishika ganzi. Hutokea pale Mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye historia ya huu mpira wa Tanzania, Rafiki yako na umeishi kuyaona matukio yake bora uwanjani anaondoka klabuni, iliwahi kunitokea hii kwa Eden Hazard, Emmanuel Okwi na leo imejirudia, ndio football ni sehemu ya furaha na maumivu makali sana. Suala wala sio kwenda Yanga bali hii picha inajirudia kichwani mwangu kuwa wana CHAMA Technician, wana AZIZ Technician, wana PACOME Ball Dancer, wana Maxi Nzengeli Engine ya Scania na Wana AUCHO The Tank kwenye kiduara, halafu mbele una DUBE The Baby Face Assasin, hii ni simulizi ya kutisha sana. Hii imeuma sana hii, BORN RED MAESTRO Ndio umezaliwa kuwa Mwekundu, BORN READY, yes umezaliwa kuwa tayari, na upo tayari kwa hii changamoto mpya, all the best BalleršŸ«”! BORN RED, BORN READY ila asibadilike Mtu kwenye ule msimamo wa huyu ndie GOAT wa Ligi Kuu hii, kila Mtu abaki na upande wake ule. HII IMENIUMA VIBAYA MNO. VISIT MOROGOROšŸ‡¹šŸ‡æ

Hutokea pale Mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye historia ya huu mpira wa Tanzania, Rafiki yako na umeishi kuyaona matukio yake bora uwanjani anaondoka klabuni, iliwahi kunitokea hii kwa Eden Hazard, Emmanuel Okwi na leo imejirudia, ndio football ni sehemu ya furaha na maumivu makali sana.

Suala wala sio kwenda Yanga bali hii picha inajirudia kichwani mwangu kuwa wana CHAMA Technician, wana AZIZ Technician, wana PACOME Ball Dancer, wana Maxi Nzengeli Engine ya Scania na Wana AUCHO The Tank kwenye kiduara, halafu mbele una DUBE The Baby Face Assasin, hii ni simulizi ya kutisha sana.

Hii imeuma sana hii, BORN RED MAESTRO Ndio umezaliwa kuwa Mwekundu, BORN READY, yes umezaliwa kuwa tayari, na upo tayari kwa hii changamoto mpya, all the best BalleršŸ«”! BORN RED, BORN READY ila asibadilike Mtu kwenye ule msimamo wa huyu ndie GOAT wa Ligi Kuu hii, kila Mtu abaki na upande wake ule.

HII IMENIUMA VIBAYA MNO.

By MCHAMBUZI Farhan Kihamu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.