Huyu Ndio Juma Mgunda, Simba Wanapashwa Wampe Ukocha Mkuu


Huyu Ndio Juma Mgunda, Simba Wanapashwa Wampe Ukocha Mkuu Waachane na Wazungu


Simba SC wameichukua heshima yao kinguvu hii leo , the man behind this mission ni Juma Mgunda ! kipindi chote ambacho Simba inapitia mateso yeye alikuwa Simba hapo hapo lakini hakushika mpini kwa sababu alikuwa upande wa wanawake.

Kuni ya akiba imeivisha ndondo ! Sijui mashabiki wanatamani kusikia nini zaidi ya taarifa kuwa Mgunda amepewa mkataba kama kocha mkuu wa Simba .

FT AZAM 0-3 SIMBA
⚽️ Sadio
⚽️ Ngoma
⚽️ Duchu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.