Fei Toto: Hakuna wa Kunizuia Kwenda Simba

 

Fei Toto: Hakuna wa Kunizuia Kwenda Simba

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa hakuna mtu wa kumzuia kwenda klabu yoyote anayotaka kwenda.


Pamoja na vilabu vingine ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, Klabu ya Simba ni miongoni mwa timu zinazotajwa kuiwania saini ya nyota huyo mzaliwa wa Visiwa vya Zanzibar.


“Kwa sasa nina mkataba na Azam FC, lakini hakuna klabu inayozuiwa kwenda kwa uongozi wa klabu yangu kama inanihitaji na mimi nitakuwa tayari kama klabu zikikubaliana," amesema Fei Toto

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.