Yanga Hawana Baya na Aziz K, Akiondoka Watampa Baraka Zote Bila Kinyongo


Aziz K
Aziz K

Kwa namna Aziz Ki alivyo na utulivu wananchi watampa baraka zote aondoke nazo kwani licha ya kuwepo Kwa tetesi nyingi kuwa amepata ofa nyingi lakini bado utulivu katika timu yake ya Sasa upo juu sana,

Matendo yake hayajawa kama ya wachezaji wengine ambao wakipata tu ofa nzuri na kubwa wanaanza kuwa na vitendo visivyo vizuri kwa timu zao, hii imekua tofauti kabisa Kwa Aziz Ki.

Wananchi ofa zinazokuja Kwa Aziz Ki ni kubwa sana kulingana na kiwango alichokionesha hivyo Ili kumbakisha basi timu inatakiwa kuwa na pesa au dau kubwa zaidi, hivyo hakuna budi kuzichangia hizi timu zetu Ili ziweze kutunishiana misuli na majianti.

Una maoni gani kama mdau wa mpira wa miguu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.