Fiston Mayele na Mrisho Ngassa |
“Ila swahiba wangu top scorer wewe kweli wakusema mimi najua ? Lakini mimi ninachojua nyota yako ipo yanga, karibu Tanzania Kama Kuna tofauti zozote na viongozi malizana nao.
“Uncle wewe ni top scorer, katika Dunia hii mimi ni shabiki yako namba 1 piga kazi ndugu yangu Kama Kuna mtu kakukosea malizana naye yeye, yanga sio ya hao viongozi utapata dhambi.
“Kuna watu wanakufa kwasababu yako wanavyokupenda na kuona unayoyasema, Tanzania ni familia yako, uncle mimi ni shabiki yako sana kila jema uncle,” Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa.