Simba Wazidi Kupata Matokeo Mabaya Hadi Huruma, Ihefu Wawakazia Kibabe Hasa


Simba Wazidi Kupata Matokeo Mabaya Hadi Huruma, Ihefu Wawakazia Kibabe Hasa

Simba na Ihefu Wametoshana Nguvu Kwa Goli 1 Kwa 1 , Ihefu walianza Kupata Goli kipindi Cha kwanza na Simba kipindi Cha Pili wakarudisha

Mnyama anao hali mbaya aisee !… wanatakiwa kufanya mabadiliko makubwa sana…. Wanakosea pasi kirahisi , wanakosa nafasi nyingi za wazi : kwenye kuzuia hadi huruma .

Wanaacha nafasi kubwa sana kwenye maeneo matatu (Kiungo chao kipo mbali na walizi “Nafasi Btn the lines” then safu ya ushambuliaji ipo mbali na kiungo … ngumu huduma kufika kwa wakati sahihi .

Yule Che Malone 👏 mwamba ni kitasa aisee ✅ Inonga anatakiwa kurudisha akili yake uwanjani : Rupia “Top Top Striker🔥” .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.