Hashim Ibwe: Tutachukua wachezaji wanne kutoka Simba na Yanga

Hashim Ibwe: Tutachukua wachezaji wanne kutoka Simba na Yanga


Ofisa Habari wa Azam Fc, Hashim Ibwe ameweka wazi mipango ya timu hiyo kuelekea kwenye maandalizi ya msimu ujao kuwa mpaka sasa wameshatuma maombi kwa timu ya Yanga wakitaka kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo Clement Mzize, huku akisema bado wengine watatu kutoka kwenye timu mbili kubwa ambazo ni Simba na Yanga.


Ibwe ameyasema hayo Aprili 17, 2024 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Mashujaa kumalizika kwa suluhu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.