1: Wakiwa hawana mpira (Al Ahly) wanaweza kuzima ufanisi wa viungo wa Simba, hasa wakiwa na two 8s wa Simba (kutrack vizuri space iliyopo kati ya CBs na CMs) ni vizuri na muhimu kupunguza hatari ya Al Ahly
2: Abdelhak Benchikha anapenda sana kuzuia na 4-4-2 ...why? ilikuwa na idadi nzuri ya Wachezaji kwenye eneo lenye mpira (overloads) lakini pia akipoteza mpira juu anaweza kufanya Counter Pressing ili kukabia juu huko huko
3: On the ball: wakiwa na mali ule utatu huwa unampa sana dribbling power (Clatous Chama) nje ya Willy Onana or Kibu Denis ili kulisogelea lango la Al Ahly, Kibu or Onana wanapenda kushambulia sana ndani
:::Huwezi kucheza chaos 90 mins bila kuwa na control ya mchezo, Ngoma atakupa control : kwakuwa Onana anapenda kushambulia ndani hii itampa space kubwa Kapombe kufanya overlaps na kupiga crossing zitakazoshambuliwa na Fredd, Chama, Kibu na mwenyewe Onana
✍????Marwan Attia, El Solia hakuna namna yoyote Koller ataacha kuwatumia kuanzia filimbi ya kwanza : nafikiri labda Dieng akiwa fit kucheza hapo kwa Marwan Attia why?
1: Wanakupa control ya mchezo na kudumisha mashambulizi na huku wakicheza zone ya Simba
2: Pia wanakupa security kwa maana Koka anaweza kushuka chini na kutengeneza two 6s sambamba na Attia na Al Ahly kuzuia kwa 4-4-2 (Percy Tau na Modeste
3: With Attia inawapa Al Ahly Box Midfield ambayo ni imara (ni sawa na Dieng) kwasababu Attia na Solia kama 6s wakati mwingine : El Shahat na Koka as 8s ni hatari sana kwenye kutumia space
Nafikiri weakness ya Al Ahl ipo zaidi kwa Percy Tau, Mafrika Kusini anahitaji A+ game dhidi ya Simba kama Simba wana mpango wowote wa kufanya LB asiwe na athari chanya: vinginevyo LB na LCM huwa na combination nzuri pia na LW kwa Simba huwa wanakuwa clinical.
Rotations ya Onana na Chama; kwamba Onana atakuwa anapata leseni ya kufanya runs na overlaps kutokea pembeni na Chama kushambulia