Kocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa

Kocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa

 Soccer News of Thursday, 28 March 2024    Chanzo: www.tanzaniaweb.liveKocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa« NyumaMbele »Comments (0)Listen to Article

WhatsApp

Facebook

“Tumejiandaa vyema kuonesha kiwango bora kesho na tunakwenda kushinda kwa kuwa hatujaja kuangalia historia yetu na yao bali kucheza mpira”.


“Hatutacheza kwa ajili ya kusubiri kuumaliza mchezo nyumbani , tutacheza kwa umakini kwa nia ya kuumaliza Mchezo hapa hapa ugenini “


“Nimecheza nao (Simba) mechi (2) na zote tumetoa sare, niliwaona na naweza kusema kuwa wapo kwenye level kama yetu siyo wadogo kwa hiyo hatutawadharau”


Comments:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.