Prince Dube Azipiga Chini Simba na AL Hilal ya SudanMara baada ya Klabu ya Azam kuthibitisha kupokea ofa kutoka katika klabu ya Simba ya hapa nchini na Al Hilal ya Sudan nimemtafuta mtu wa karibu zaidi wa mshambuliaji huyo na kuweza kufunguka kuhusu jambo hili.

“Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwea kwa sasa hana nia wala hana mpango wa kujiunga katika vilabu hivyo viwili,Simba na Al Hilal”.

Kwa sasa Prince Dube anaendelea na mazoezi yake binafsi mara ya kuwaaga Azam FC kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.