Nyota wa zamani wa Simba afariki Dunia

Nyota wa zamani wa Simba afariki Dunia


Taarifa zinasema mchezaji huyo akitamba Simba miaka ya 1980 mpaka mwanzoni mwa 1990 amefikwa na umauti huo akiwa msikitini baada ya kuanguka alipotoka Msikitini usiku wa jana Magomeni Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.