Aziz Ki bado yupo sana Jangwani

Aziz Ki bado yupo sana Jangwani


Tetesi zinadai kuwa Stephan Aziz Ki amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia kwenye klabu ya Yanga baada ya majadiliano ya pande zote mbili.


Nyota huyo alikuwa anamaliza mkataba wake wa sasa mwishoni mwa msimu huuu na majadiliano baina ya pande zote yalianza toka mwishoni mwa mwaka jana na sasa yamefikia mahali pazuri na muda wowote atasaini mkataba mpya.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.