Mapinduzi Balama apewa "Thank You" Coastal Union

 

Mapinduzi Balama apewa "Thank You" Coastal Union

Kiungo wa zamani wa Yanga na Mtibwa Sugar, Mapinduzi Balama "Kipenseli" ameachana rasmi na klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga.


Balama amemaliza Mkataba wake na anatajwa kujiunga na Klabu ya Mashujaa FC yenye maskani yake Mkoani Kigoma.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.