Taifa Stars kazi kazi Morocco

 

Taifa Stars kazi kazi Morocco

Timu ya Taifa “Taifa Stars” imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Grand Marrakech Annex 1, Morroco kuelekea mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.