Aliyewahi kuwa kocha wa Simba ameandika maneno kwenye Insta Story yake ikionesha kama kuna dalili za kurejea Msimbazi.
Sven Vandenbroeck ameandika "Nobody but me" akimaanisha hakuna mwingine zaidi yake.
Maneno hayo yanakuja wakati Simba inatafuta kocha, ambapo Sven ni mmoja wa wanaotajwa kuwa huenda akakabidhiwa mikoba hiyo.
Vipi mwananyulasi mwamba arejee?