Klabu ya Soka ya Yanga na Taifa Stars, Zimetajwa Kwenye Tuzo za CAF, Simba Halooo
Klabu ya soka ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, zimetajwa kwenye tuzo za CAF zikiwa kwenye pot ya Klabu bora ya mwaka na timu ya Taifa ya mwaka .
Yanga ipo kwenye timu 10 zinazowania tuzo ya Klabu bora ya mwaka wakiwa na [ USMA , AL AHLY, WYDAD ,RAJA ,ESPERANCE ,MARUMO ,MAMERODI ,ASEC na BELOUIZDAD ]
Timu ya Taifa ya Tanzania pi ipo kwenye Tuzo ya Timu bora ya Taifa ya mwaka wakiwa na [ NAMIBIA,SENEGAL,MOROCCO ,MOZAMBIQUE ,GUINEA,MAURITANIA ,GAMBIA ,CAPE VERDE]
Tuzo ipi hapo itarudi nyumbani ______?