Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo November 05 NBC Premier League


Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo November 05 NBC Premier League
Kikosi cha Yanga vs Simba

Mafahari wawili hawakai zizi moja.Jumapili hii itashuhudiwa mchezo wa kukata na shoka wa mahasimu’ wa Dar es Salaam, Simba na Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara au NBC Premier League.

Mchezo huu unakuja katika mazingira yanayotaka kufanana na mazingira ya mchezo wao wa mzunguko wa kwanza msimu uliopita ambao ulizikuta timu hizo mbili zikiwa kileleni kwa kulingana pointi huku Simba ikiwa na faida ya mabao. Wakati huo zilikuwa kwenye mashindano ya Afrika.

Safari hii zinakutana Yanga kikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya mabao ya kufunga. Kama ilivyokuwa msimu uliopita, timu hizi ziko kwenye mashindano ya Afrika lakini safari hii ziko kwenye ngazi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika jambo ambalo litaongeza msisimko kwani ni kwa mara ya kwanza zinakutana zote zikiwa katika viwango vya juu kimataifa.


Kikosi cha Simba Vs Yanga Leo November 05 NBC Premier League

 1. Ally Salim
 2. Shomari Kapombe
 3. Mohammed Hussein
 4. Che Malone
 5. Kennedy Juma
 6. Kanoute
 7. Chama
 8. Mzamiru Yassin
 9. Said Ntibazonkiza
 10. John Bocco
 11. Micquissone

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.