Kikosi cha Yanga Vs Simba November 05 NBC Premier League

 

Kikosi cha Yanga Vs Simba November 05 NBC Premier League
Kikosi cha Yanga Vs Simba

Mafahari wawili hawakai zizi moja.Jumapili hii itashuhudiwa mchezo wa kukata na shoka wa mahasimu’ wa Dar es Salaam, Simba na Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara au NBC Premier League.

Mchezo huu unakuja katika mazingira yanayotaka kufanana na mazingira ya mchezo wao wa mzunguko wa kwanza msimu uliopita ambao ulizikuta timu hizo mbili zikiwa kileleni kwa kulingana pointi huku Simba ikiwa na faida ya mabao. Wakati huo zilikuwa kwenye mashindano ya Afrika.

Safari hii zinakutana Yanga kikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya mabao ya kufunga. Kama ilivyokuwa msimu uliopita, timu hizi ziko kwenye mashindano ya Afrika lakini safari hii ziko kwenye ngazi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika jambo ambalo litaongeza msisimko kwani ni kwa mara ya kwanza zinakutana zote zikiwa katika viwango vya juu kimataifa.

 Kikosi cha Yanga  Vs Simba November 05 NBC Premier League 

 1. Diarra
 2. Yao
 3. Lomalisa
 4. Mwamnyeto
 5. Bacca
 6. Auch
 7. Max
 8. Mudathiri
 9. Mzize
 10. Musonda
 11. Moloko

SUBS

Metacha, Kibabage, D Job, Gift Fred, Mkude, Sureboy, Pacome, Aziz K, Konkoni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.