Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhdi ya Simba Novemba 5 katika Uwanja wa Mkapa.
Kuna wanaoitaka Klabu ya Simba kwenda Mahakamani kwa vile nembo ya Klabu imetumika Kibiashara na mtu mwingine pasipo idhini yao.
Alex Ngereza anasema;
"Yanga hawachomoki hapa kama Simba wakiamua kwa kawaida huwezi kutumia logo ya timu nyingine yenye wadhamini wake kutangaza wadhamini wako"