Vipi Mnaswali kwa Robertinho?, Anastahili Kuendelea Kuwa Kocha wa Simba


Vipi Mnaswali kwa Robertinho?, Anastahili Kuendelea Kuwa Kocha wa Simba


Kuna Watu walitegemea Simba angekula TANO

Ndiyo, Anastahili kuendelea kuwepo sana tu Unyamani

Huyu ndiyo Kocha ambaye amekuwa baadhi ya mashabiki wakimtupia lawama kuwa timu yake mbovu…

Vipi Mnaswali kwa Robertinho.?, @simbasctanzania hii inayosemwa mbovu imekutana na Klabu namba 1 Afrika Al Ahly haikuruhusu kufungwa zaidi ya sare nyumani na ugenini.

Kupata sare tena ya goli 1-1 nyumbani kwa Al Ahly basi lazima uwe mwanaume kweli kweli sio kitu rahisi tena mchezo unao amua hatma yao

Yes @simbasctanzania imekutana na timu Bora Afrika Al Ahly na kama wangepangwa na wengine basi wangepita Robo Fainali ya AFL.

Ilikuwa chupu chupu Al Ahly watoke kwenye mashindano baada ya Mnyama kupata goli dakika ya 69’ kama sio uzoefu wao na wachezaji wa gharama kubwa kuamua mchezo ilikuwa ‘Baba Jeni’ mwarabu

@robertinho7.coach apewe ‘MAUA YAKE’

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.