Haji Manara Afungua Mdomo Baada ya Simba Kutolewa "Hapo Ndipo Mnapostahili Kila Mwaka"


Haji Manara Afungua Mdomo Baada ya Simba Kutolewa "Hapo Ndipo Mnapostahili Kila Mwaka"

Haji Manara Afunguka haya:

"Vile nikiwaangalia Makolo na Hadith za kufa kiume.kufa kufa, ukifia chooni umekufa ,ukifia kitandani pia umekwenda na Maji

Poleni sana Mwakarobo na hapo ndio mnapostahili kila mwaka" Haji Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.