Singida FG ugenini Leo dhidi ya Namungo

 

Singida FG ugenini Leo dhidi ya Namungo

Mechi nyingine ya kibabe itakuwa majira ya saa 1:00 usiku ambayo itawakutanisha kati ya Singida FG dhidi ya Namungo kutoka Lindi ambapo mwenyeji wa mchezo huo ni Wauaji wa Kusini.


Singida yupo nafasi ya 10 akiwa ameshinda mchezo mmoja pekee kwenye michezo mitano ambayo amecheza huku akisare mbili na kupoteza mara mbili akiwa na pointoi zake 5.


Wakati kwa Namungo yeye anashika nafasi ya 14 kwenye msimamo akiwa hajashinda mechi yoyote hadi sasa akitoa sare tatu na kupoteza mara mbili mpaka sasa akiwa na pointi zake 3.


Tofauti ya pointi kati ya timu hizi mbili ni 2 pekee huku nafasi ya kuibuka na ushindi kule Meridianbet amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 2.69 kwa 2.79. Suka jamvi lako hapa na Meridianbet sasa.


Mchezo wa mwisho kukutana, walitoshana nguvu hivyo leo kila timu inataka kuonyesha mabavu kwa mwezie. Je nani atamfunga paka kengele?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad