Matokeo Yanga Vs Simba Tarehe 13 August 2023, Ngao ya Jamii

Matokeo Yanga Vs Simba Tarehe 13 August 2023, Ngao ya Jamii


 Matokeo Yanga Vs Simba Tarehe 13 August 2023, Ngao ya Jamii

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.


Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshindi, Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.


Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema.

Stadium Yanga vs Simba 13 August 2022

Mkwakwani, Tanga

Where to Watch Simba sc vs Yanga August 13,2022

The Match between Simba and Yanga will be Live on Azam Tv , Through their Sport’s Channel Azam Sports Two HD.

Where To Listen Simba vs Yanga 13 August 2022
For Those Who like to listen the Match through Radio, or Those who will not have the accessibility to watch through TV ,TBC Fm and Uhai Radio that’s the place to Tune.

Muda Yanga vs Simba 13 August 2022

According to Tanzania Football Federation Cup TFF, The Time for the Yanga vs Simba Kick Off will be 1900 Hours.


 Matokeo Yanga Vs Simba

FULL: YANGA 0:0 SIMBA

PENALTS:

SIMBA 3

YANGA 1

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.