Simba Wabeba Ubingwa Ngao ya Jamii 2023, Ally Salim Aibuka Shujaa Adaka Mishale

Simba Wabeba Ubingwa Ngao ya Jamii 2023, Ally Salim Aibuka Shujaa Adaka Mishale

 Simba Wabeba Ubingwa Ngao ya Jamii 2023, Ally Salim Aibuka Shujaa Adaka Mishale

Klabu ya Simba SC imefuta uteja wa miaka miwili mfululizo baada ya kuibuka mabingwa wa ngao ya Jamii 2023 wakiichapa Yanga kwa mikwaju ya penati 3-1, Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga..

Mchezo huo iliamuliwa kwa Penati baada ya kumalizika kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 za mchezo.

Mlinda mlango wa Simba , Chipukizi Ally Salim ameibuka shujaa akipangua mikwaju mitatu ya penati iliyopigwana Khalid Aucho, Pacome zouazoua na Yao Attouhula.

Kwa upande wa Simba Saido ntibazonkiza na Moses Phiri walikosa mikwaju yao ya Penati.

Una neno gani kwa Mabingwa wapya wa Ngao ya Jamii 2023, tupe maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.