Kikosi cha Yanga Sc vs Simba August 13 2023, Ngao ya Jamii

Kikosi cha Yanga Sc vs Simba August 13 2023, Ngao ya Jamii


Kikosi cha Yanga Sc vs Simba August 13 2023 Line Up

Kikosi cha Yanga Sc vs Simba August 13 2023 Line Up, Kikosi cha Yanga dhidi ya Simba,Kikosi cha Yanga vs Simba Ngao ya Jamii, Community Shield 2023/2024, Kikosi cha Yanga sc vs Simba Sc 13 August 2023, Kikosi cha Yanga Leo 13,2023,Yanga SC Line Up against Simba Sc, Kikosi cha Yanga vs Simba Ngao ya Jamii 13 August 2023


Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.

Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshindi, Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.

Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema.

Kikosi cha Yanga

 • Diarra
 • Yao
 • Lomalisa
 • Mwamnyeto
 • Bacca
 • Auch
 • Max
 • Mudathiri
 • Mzize
 • Musonda
 • Moloko
SUBS

Metacha, Kibabage, D Job, Gift Fred, Mkude, Sureboy, Pacome, Aziz K, KonkoniPost a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.