Kikosi cha Simba Sc Vs Yanga August 13 2023, Ngao ya Jamii

Kikosi cha Simba Sc Vs Yanga August 13 2023, Ngao ya JamiiKikosi cha Simba Sc vs Yanga August 13 2023 Line Up

Kikosi cha Simba Sc vs Yanga August 13 2023 Line Up,Kikosi cha Simba vs Yanga 13 August 2023, Kikosi cha Simba leo, Kikosi cha Simba 13.8.2023,Simba Sports Club Line Up Ngao ya Jamii

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.


Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshindi, Simba SC imefanikiwa kutinga fainali ya ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC.


Sasa Simba SC itacheza fainali dhidi ya Yanga SC siku ya Jumapili ya August 13 2023 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga saa 19:00 wakati Singida watawania mshindi wa tatu dhidi ya Azam FC katika mchezo wa mapema.

Kikosi cha Simba Sc vs Yanga August 13 2023 Line Up

 • Ally Salum
 • Kapombe
 • Mohamed Hussein
 • Kennedy
 • Che Malone
 • Kanoute
 • Chama
 • Mzamiru
 • Bocco
 • Ntibanzonkiza
 • Miquissone

SUBS

Abel, Israel, Kazi, Ngoma, Kramo, Phiri, Kibu and BalekeIts Yanga SC vs Simba in Ngao ya Jamii Final 13 August 2023

13/8/2023 19:00 Yanga vs Simba Final Mkwakwani, Tanga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.