Sandaland Akwepa Mtego Uliomfelisha Vunjabei Simba, Adai Mzigo Umeshafika

 

Sandaland Akwepa Mtego Uliomfelisha Vunjabei Simba, Adai Mzigo Umeshafika

Bosi aliyeingia kandarasi ya kusambaza jezi ya Simba SC, Sandaland amesema mzigo wa jezi upo wa kutosha nchini na anawasubiri tu Simba watangaze.


Sandaland anasema mzigo tayari upo katika ardhi ya Tanzania na kinachosubiriwa sasa ni Simba tu kutangaza siku rasmi ya kuzindua.


“Hata ukweni utakwendanayo” sehemu ya maneno ya Mzabuni mpya wa jezi za Simba SC, Sandaland The Only One akibainisha sifa za ‘uzi’ mpya wa #Mnyama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.