Hii Hapa Tarehe ya Kuanza Ligi zote Kubwa Ulaya

 

Hii hapa tarehe ya kuanza Ligi zote kubwa Ulaya

Hii hapa tarehe ya kuanza Ligi zote kubwa Ulaya

Tarehe rasmi ambazo Ligi Kubwa Barani Ulaya zinatarajia kuanza ziemwekwa hadharani na vyama vya soka vya nchi husika.

Tanzaniaweb tunakuletea orodha kamili ya siku Ligi hizo zitakapofunguliwa kuanza kwa msimu wa 2023/24.

EPL: Agosti 11 - kuanza kwa Premier League

La Liga: Agosti 11 - kuanza kwa La Liga

Ligue 1: Agosti 11 - kuanza kwa Ligue 1

Bundasliga: Agosti 18 - kuanza kwa Bundesliga
Seie A: Agosti 19 - kuanza kwa Serie A
31 Agosti - Kufanyika kwa Droo ya UEFA Champions League
19 Septemba- Kuanza kwa UEFA Champions League

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.