Mchambuzi: Yanga haina mfumo, Kocha ndio anaamua

 

Alex Ngereza

Wakati Yanga ikimtambulisha Muargentina Miguel Ángel Gamondi huku wengi wakihoji kama ataweza kuendeleza mafanikio yaliyoachwa na mtangulizi wake Nasreddine Nabi alieachana na Yanga mwishoni mwa msimu uliopita.


Wachambuzi wengi wametoa maoni yao kuhusiana na namna Kocha huyo atakavyoanza kazi ndani ya Kikosi cha Yanga.

Miongoni mwao ni Alex Ngereza kutoka TV3 ambae anasema;

Yanga haina mfumo maalumu wa uchezaji,kwa hiyo kocha mpya anatakiwa kuja na mfumo wake na aujenge ndani ya timu,Tofauti na Simba ina mfumo wake kiasi kwamba hata akija kocha mpya bado mfumo wao hautobadilika wao lazima mpira utembee ndo mfumo wao"

Je ni kweli Yanga haina mfumo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.