Yanga Mabingwa Ligi Kuu Tanzania, Wampa Mtu Dozi Safi

Published from Blogger Prime Android App

NBCPL | Wananchi wameshinda dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha alama 74 kwenye Ligi ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Kwa maana hiyo ni rasmi sasa Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2022|23.

FT| YANGA 4-2 DODOMA JIJI
⚽️ Kennedy Musonda 39’
⚽️ Mudathir Yahya 70’, 90+4’
⚽️ Farid Mussa 88’

⚽️ Collins Opare 59’
⚽️ Seif Karihe 67’

Mnalala saa ngapi__________??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.