𝐀𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐌𝐖𝐄 𝐀𝐓𝐎𝐁𝐎𝐀 𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐙𝐈𝐓𝐎
Hee Kumbe Ahmed Ally ni Mwananchi 😳, Na huko Simba wanataka kumtimua kisa anawaambia ukweli uongozi mambo ya klabu ?
Ali Kamwe amefunguka haya:
'Sikumtama achague njaa, tulikubaliana twende kwenye timu ya neema yeye akachagua shida, ni mwananchi sio mpaka tuseme, huko choko choko zimeanza kwa Ahmed Ally kusema ukweli kwa viongozi ,njoo yanga nafasi bado ipo"
𝙎𝘼 𝙄𝙏𝘼𝙆𝙐𝙒𝘼𝙅𝙀 🤔 ?