Tazama LIVE Simba vs Azam FC Leo 7 May 2023 Nusu Fainali ASFC 2023

Tazama LIVE Simba vs Azam FC Leo 7 May 2023 Nusu Fainali ASFC 2023


Tazama LIVE Simba vs Azam FC Leo 7 May 2023 Nusu Fainali ASFC 2023

Tazama LIVE Azam FC vs Simba SC,live score Azam FC vs Simba leo,Live score Simba SC vs Azam FC Azam Sports Federation Cup 2023,Tamaza Live Simba vs Azam fc Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,Azam FC vs Simba Live leo tarehe 7.5.2023.

Soka Tanzania itakuletea LIVE Kiganjani Mwako mchezo wa Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2023 kati ua Azam FC SC dhidi ya Simba SC 

Mchezo huo upigwa May 7 ,2023 kuanzia saa 9:30 Alasiri kwenye Uwanja wa Nangwanda, Sijaona Mkoani Mtwara.

Usikose Kuitazama mechi hii LIVE Kiganjani Mwako kupitia Soka Tanzania Website



Klabu ya Simba SC ilifuzu hatua hiyo baada ya kuiondosha Ihefu SC, huku Azam FC ikifuzu kwa kuiondosha Mtibwa Sugar.


Yanga wao walifuzu hatua hiyo ya Nusu Fainali baada ya kuiondosha Geita Gold, na Singida Big Stars ilifuzu kwa kuiondosha Mbeya City ya Mbeya.


Mechi ya Fainali itapigwa kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.