Mchambuzi Wilson Oruma "Aziz K Anatia Aibu"


Published from Blogger Prime Android App

Maneno ya Mchambuzi Wilson Oruma

"Stephanie Aziz KI anaweza kufanya vitu vingi sana uwanjani, Lakini je unaweza Kumtegemea?"

"Jibu lake ni hapana,na hii ni aibu sana kwa mchezaji mwenye Kipaji kama Cha kwake"

"Akiwa na mpira huwezi Kumtegemea, anapoteza sana mipira.Sehemu ya kukimbia anatembea.Nabi yupo Sahihi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.