Mashabiki wa Simba Waipokea Yanga Afrika Kusini
“Bila sisi wasingefika hapa” maneno ya mashabiki wa Simba SC waishio Afrika Kusini wakizungumza wakati msafara wa Yanga ukiingia nchini humo.
Yanga ipo kwa Madiba kwaajili ya mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali dhidi ya Marumo Gallants.
#YangaSafarini #YangaSC #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika