Kwa heshma ya Mpira na UTU tulionao Wananchi na kwa mapenzi mema kwa nchi, Mh Rais Wa Taifa hili zuri la Tanzania Kiongozi na Amiri wetu mkuu Mama yetu @samia_suluhu_hassan ,tunakuomba Wanayanga bila kushurutishwa na Mtu ( ila mimi bhana hadi hapo sijaandika ombi lenyewe)
Ok:: Zile Twenty zetu za leo Wapewe Makolo wakalipie deni wanalodaiwa na Wachezaji wao, Imagine leo Onyango kaniomba Vocha ya af tatu.