Wananchi anytime wanaweza kutinga fainali aisee....game tough ya marudiano lakini mbili nyingi.....hawa Gallants watu na nusu Yanga wawe makini lakini wana advantage kubwa.....achana na bao la Aziz na utundu wa kichaa msomi bwana Morrison katika bao la pili, lakini yule Bacca ni Top Top Top defender.....
NB: Mnyama amchukue yule kipa wa Marumo...