CAF Yataka Ofisi ya Madaktari Uwanja wa Mkapa

CAF Yataka Ofisi ya Madaktari Uwanja wa Mkapa

Hii ni ofisi maalumu ambayo inatakiwa kuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa na taarifa hiyo inasema iliyopo haina viwango vinavyotakiwa na Caf. Hii inaelezwa itakuwa maalumu kwa ajili ya kuwapa huduma ya kwanza wachezaji pamoja na waamuzi.

Ofisi hiyo inatakiwa kuwa na; vifaa kwa ajili ya matibabu ya dharura vifaa kwa ajili ya upasuaji mdogo, vifaa kwa ajili ya kupima upumuaji, sindano za dharura na dawa, mashine maalum kwa ajili ya vipimo vya moyo, vipimo kwa ajili ya presha, vipimo vya kupima sukari mwilini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.