Yanga Yapigwa Malawi Ligi ya Mabingwa, Maskini Folz Mlango wa Kutokea Ulee....




Wananchi, Young Africans Sc wameanza hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa kipigo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Malawi.

Mchezo wa marudiano utakaopigwa Oktoba 25, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa utaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya makundi ya CAFCL msimu wa 2025/26.

FT: Silver Striker 🇲🇼 1-0 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 76’ Andrew Joseph


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad