Mchezaji Jeanine Mukandiyisenga Athibitika ni Msichana, TFF Wamruhusu Kucheza Ngao ya Jamii
0Soka TanzaniaOctober 08, 2025
Baada ya jana Uongozi wa Yanga kukubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine Mukandiyisenga kupimwa, Leo shirikisho la soka nchini TFF limewaambia Yanga SC kuwa wamefuta uamuzi wa barua yao na wamemruhusu mchezaji Jeanine Mukandiyisenga kutumika kwenye mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya JKT Queens.