Pacome ni Mwalimu wa Mpira Tanzania Ana X-Factor ya Kuamua Mechi Kubwa na Ndogo




MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amesema kuwa "Jana niliulizwa swali kwamba pale Simba kuna mchezaji Mwenye quality ya Pacome?"

Nikajibu “hapana,Simba hawana mchezaji mwenye hiyo quality ingawa Mpanzu ana mfanano kidogo na Pacome ila hana quality ya Pacome hata Wana-Simba wanajua hilo”

"Pacome ni mwalimu wa mpira Tanzania ana X-Factor ya kuamua mechi kubwa na ndogo."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad