Mwanariadha Alphonce Simbu Ashinda Medali ya Dhahabu Mbio za Riadha za Dunia

Mwanariadha Alphonce Simbu Ashinda Medali ya Dhahabu Mbio za Riadha za Dunia


Mwanariadha wa Kimataifa kutoka Tanzania Alphonce Simbu ameshinda mbio za riadha za KM 42 za dunia ambazo zimefanyika Jijini Tokyo nchini Japani na kumshinda mpinzani wake Amanol Petros Kutoka Ujerumani kwa tofauti ya sekunde 0.03.

Alphone Simbu ameshinda mbio za dunia kwa kukimbia kwa saa 2:09:48 na kufanikiwa kupata medali ya kwanza ya dhahabu kwa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Tokyo 2025.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad