Klabu ya Soka ya Tabora United Yanunuliwa na TRA, Sasa Kuitwa TRA United Sports Club

Klabu ya Soka ya Tabora United Yanunuliwa na TRA, Sasa Kuitwa TRA United Sports Club


Klabu ya soka ya Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara imeuzwa kwa Mamlaka ya kukusanya Mapato Tanzania (TRA) na sasa itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB

Klabu hiyo yenye maskani yake Mkoani Tabora, baada ya kuuzwa itahamishwa Jijini Dar es Salaam kuongeza idadi ya timu za Jiji hilo kwenye Ligi Kuu kuwa 5 ikiungana na Simba Sc, Yanga Sc, KMC Fc na JKT Tanzania

Dar es Salaam sasa itakuwa na timu 6. Ligi kuu

Simba

Yanga

Azam FC

KMC

JKT Tanzania

TRA Utd

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad