Alex Ngeraza : Wana Simba Wamepoteza Imani na Jay Rutty

 
Alex Ngeraza : Wana Simba Wamepoteza Imani na Jay Rutty

"Jay Rutyy anaweza kupoteza imani kwa mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba kwasababu wakati anapewa tnda watu walimuamini kwamba atakuja kuleta kitu cha utofauti sana na watu walimuamini kwa asilimia kubwa, lakini mwisho wa siku amekuja na yeye kupita kwenye changamoto zilezile ambazo ziliwakuta watu waliopata tenda zilizopita kwa maana ya jzi kuvuja na ukitazama jezi ambazo zimevuja zipo jezi ambazo zinafanana kabisa na jezi ambazo zimetoka sasa hivi,

lakini tofauti ni ubora wa picha zilizopigwa wa jezi zilizovuja na jezi za sasa hivi, " 🗣️ alexngereza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad