DEAL DONE: Usiku wa Jana Nickson Kibabage amejiunga na Singida kwa mwaka mmoja akitokea Yanga.
Kıla kitu kimekamilika Kibabage ameondoka Yanga mazima na mkataba umesainiwa Jana usiku.
Kocha Gamondi amehusika kwenye huu usajili✍️