DEAL DONE: Clatous Chama Amejiunga Rasmi na Klabu ya Singida Black Stars

 

DEAL DONE:  Clatous Chama Amejiunga Rasmi na Klabu ya Singida Black Stars



🚨 DEAL DONE ✅

Nyota wa Kimataifa wa Zambia aliyewahi Kuzitumikia Simba na Yanga Clatous Chama Amejiunga Rasmi na Klabu ya Singida Black Stars Kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja Kama Mchezaji Huru Baada ya Kuachana na Young Africans Msimu Uliomalizika.


Kila kitu Kimekamilika na Singida Black Stars Wanatarajia kumtangaza Chama kama Mchezaji Muda wowote kuanzia sasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad