Mobile

Wiki ya Mwananchi Hati Hati Kufanyika...Kisa Mkasa Huu Hapa

Wiki ya Mwananchi Hati Hati Kufanyika...Kisa Mkasa Huu Hapa


“Tunapamba siku ya Wananchi iwepo lakini kuna changamoto nyingi tunapitia, ukiangalia mashindano ya CHAN yanaisha tarehe 30 na tarehe 1 kuna Kalenda ya FIFA na tarehe 11 kuna ngao ya Jamii lakini changamoto kubwa ni Uwanja”.

"Ukifanya Wiki ya Wananchi maana yake tutafanya bila Wachezaji wetu wote na itakuwa kwa mara ya kwanza, tunaendelea kupambana na ikipatikana jibu sahii tutakuja kuwajibu."

- Ally Kamwe , Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad