Mobile

Kocha Mwinyi Zahera Atoboa Siri, Yanga Walitakaga Kumpeleka Mzize Singida United Kwa Mkopo

Kocha Mwinyi Zahera Atoboa Siri, Yanga Walitakaga Kumpeleka Mzize Singida United Kwa Mkopo


 “Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo 'system' ya TFF ila ni mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida."

"Walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi na timu kubwa.Hata Marseille walipotuma barua kumtaka, wao wakasema tumpeleke Singida tu maana Wachezaji watapatikana wengine”

- Mwinyi Zahera, Kocha wa zamani wa Young Africans kuhusu sakata la Mzize akihojiwa na Kituo cha ITV

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad