Mobile

𝗧π—₯π—”π—‘π—¦π—™π—˜π—₯ π—‘π—˜π—ͺ𝗦: Mzize Huyoo Kitimkia Klabu ya EspΓ©rance Sportive de Tunis ya Tunisia

𝗧π—₯π—”π—‘π—¦π—™π—˜π—₯ π—‘π—˜π—ͺ𝗦: Mzize Huyoo Kitimkia Klabu ya EspΓ©rance Sportive de Tunis ya Tunisia


𝗧π—₯π—”π—‘π—¦π—™π—˜π—₯ π—‘π—˜π—ͺ𝗦 ✅️✅️

Klabu ya EspΓ©rance Sportive de Tunis ya Tunisia imetuma ofa kwaajili ya kumnasa mshambuliaji, Clement Mzize (28), kwaajili ya kuelekea msimu wa 2025-2026.

Naelezwa kuwa Yanga wamekataa ofa ya $600,000 iliyotolewa na Al Masry ya nchini Misri, naelezwa tena kuwa Yanga wapo tayari kupokea $800,000 hadi $900,000 kwa klabu zinazomuitaji Mzize, Esperance inatajwa kuwa kwenye ushindani mkali na Al Sadd SC ya Qatar katika kuwania saini ya Mzize

By Prince Ndosi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad