Mobile

𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Azam Washtuka Waamua Kumuuza Fei Toto Kwa Simba

𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Azam Washtuka Waamua Kumuuza Fei Toto Kwa Simba


𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦 ✅️✅️

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho kwaajili ya kuinasa saini ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah (27) kwaajili ya msimu wa 2025-2026.

Mpaka sasa klabu ya Simba imekwisha kufikia makubaliano binafsi na Feisal Salum, kilichosalia ni klabu ya Azam FC kukubaliana Ada ya uhamisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa ifikapo Septemba 01,2025📌

Naelezwa kuwa Azam wamepanga kumuuza kwani endapo hatauzwa sasa atamaliza mkataba wake na kuondoka kama mchezaji huru, jambo ambalo litakua hasara kwa upande wao

By Prince Ndosi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad