Mohamed Bajaber Apishana na Gari la Mshahara Baada ya Kuikimbia Harambe Stars Kujiunga Simba


Mohamed Bajaber Apishana na Gari la Mshahara Baada ya Kuikimbia Harambe Stars Kujiunga Simba


Mchezaji wa Simba sc Mohamed Bajaber ambaye kwasasa yupo na kambi ya timu ya Simba.

Wakati anaondoka timu ya Tiafa ya Kenya na kujiunga na Kambi ya Simba Misri mara baada ya deal la usajili Kutiki, wenzake kwasasa wanakoga mihela tu kutoka serikali ya Kenya kwa Kufanya Vizuri CHAN, tena wakivuka nusu fainali dau lao la mihela linaongezeka zaidi na Kupewa Nyumba Juu

Kweli maisha kupanga ni kuchagua tu huenda Simba Wanamlipa Vizuri 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad